Psalms 88:10-11

10 aJe, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako?
Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?

11 bJe, upendo wako hutangazwa kaburini,
uaminifu wako katika Uharibifu?
Yaani Abadon.

Copyright information for SwhNEN